Ruge aagwa leo jijini daresalaam

Maelfu ya watanzania, waomboleza, viongozi wa nchi pamoja na wasanii nchini wameunga
na kwa pamoja na familia ya Ruge asubuh ya leo katika kumuaga marehemu huyo aliyekuwa mkurugenzi wa clouds katika viwanja vya Karimjee jijini Daresalaam. Baada ya kuagwa mwili wa Marehemu utaelekea Mwl. J.k Nyerere Airport kwaajili ya safari ya kuelekea  Bukoba nyumbani kwao na marehemu ambapo kutakuwa na nyumba yake atakayopumzika milele.

Comments

Popular posts from this blog

Diamond platnumz awa gumzo juu ya kifo cha ruge

Tanzia: Msanii Jessie ambaye alikuwa zao la THT afariki dunia